Mwanzo > Habari > Content

BFSU na SOAS Zatia saini Makubaliano ya Ushirikiano

Updated: 2025-04-17

Tarehe 9 Aprili, sherehe ya kutia saini makubaliano ya ushirikiano wa Chuo Kikuu cha BFSU na SOAS imefanyika SOAS, London. Naibu meya wa mji wa Beijing Bw. Ma Jun amehudhuria sherehe hiyo na kutoa hotuba. Makamu mkuu wa BFSU Prof. Zhao Gang na makamu mkuu wa SOAS Prof. Laura Hammond wametia saini makubaliano hayo.