Tarehe 11 Aprili, balozi wa Sri Lanka Bw. Majintha Jayesinghe ametembelea Chuo Kikuu cha BFSU. Mkuu wa BFSU Prof. Jia Wenjian amekutana na wageni hawa. Wamezungumzia kuimarisha ushirikiano wa BFSU na Sri Lanka katika mawasiliano ya walimu na wanafunzi, utafiti wa pamoja na mengineyo.
