Tarehe 13 Aprili, balozi wa Malta nchini China Bw. John Busuttil na mkuu wa Chuo Kikuu cha Malta Prof. Alfred Vella wametembelea Chuo Kikuu cha BFSU. Mkuu wa BFSU Prof. Jia Wenjian, makamu mkuu wa BFSU Prof. Liu Xinlu wamekutana na wageni hawa na kuzungumzia kuimarisha ushirikiano.
Wageni hao wamekutana na wanafunzi wa Kimalta kabla ya mazungumzo.
