Mwanzo > Habari > Content

Waziri wa Mambo ya Ndani na Nje Atembelea BFSU

Updated: 2025-04-02

Tarehe 25 Machi, Waziri wa mambo ya ndani na nje wa Ureno Bw. Paulo Rangel ametembelea Chuo Kikuu cha BFSU. Mkuu wa BFSU Prof. Jia Wenjian amekutana na wageni hawa. Bw. Rangel ametoa hotuba kuhusu lugha na utamaduni wa Ureno kabla ya kuzungumza na walimu na wanafunzi wa Kireno.