Mwanzo > Habari > Content

Jukwaa la Huduma ya Lugha la Dunia Lazinduliwa

Updated: 2025-04-02

Tarehe 22 Machi, Baraza la Tisa la Mageuzi na Maendeleo ya Elimu ya Lugha za Kigeni katika Vyuo Vikuu limefanyika Beijing. Jukwaa la Huduma ya Lugha la Dunia limezinduliwa katika baraza hilo.

Kwa kufuata dhamira ya kujenga, kuzalisha na kutumia kwa pamoja, Jukwaa hilo limeweka vitengo vitatu vya huduma ya lugha , elimu ya lugha na utafiti na hifadhi ya lugha.