Mwanzo > Habari > Content

Balozi wa Norway Atembelea BFSU

Updated: 2025-03-05

Tarehe 26 Februari, Balozi wa Norway nchini China Bw. Vebjørn Dysvik ametembelea Chuo Kikuu cha BFSU. Mkuu wa Chuo Prof. Jia Wenjian amekutana na mgeni huyo na msafara wake. Pande hizo mbili zimefanya mazungumzo juu ya kuimarisha mawasiliano na ushirikiano.

Baada ya mazungumzo, Bw. Vebjørn Dysvik amekutana na wanafunzi wa kozi ya Kinorwei.