Mwanzo > Habari > Content

BFSU Yapanga Kazi za Muhula wa Spring wa 2025

Updated: 2025-02-19

Tarehe 18 Februari, kikao cha kufungua muhula wa Spring wa 2025 kimefanyika BFSU. Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Prof. Wang Dinghua ameweka wazi matakwa matano ya kufanya kazi katika mwaka wa 2025. Mkuu wa Chuo Prof. Jia Wenjian ametoa hotuba yenye mada ya Kukuza Maendeleo ya Kiwango cha Juu ya Chuo Kikuu Bora cha Lugha za Kigeni Duniani na kupanga kazi kutoka pande saba.

   Kikao hiki kimesisitiza kuboresha miradi ya ushirikiano wa kimataifa, kukuza utafiti wa kiwango cha juu, na kutafuta njia za maendeleo na mikakati ya ubunifu ya vyuo vikuu kwa kutegemea Umoja wa Vyuo Vikuu vya Lugha za Kigeni vya Dunia na majukwaa mengine.