HOME > Habari > Content

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Cologne Atembelea BFSU

Updated: 2024-09-20

Tarehe 20 Septemba, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Cologne, Mwenyekiti wa Kituo cha Mawasiliano ya Kiutafiti cha Ujerumani Bw. Joybrato Mukherjee ametembelea Chuo Kikuu cha BFSU. Mwenyekiti wa Baraza la BFSU Prof. Wang Dinghua amekutana na mgeni huyo na msafara wake. Wamezungumzia utafiti, mawasiliano ya walimu na wanafunzi na masuala mengine.