Mwanzo > Habari > Content

BFSU Chaanzisha Kozi ya Kitetum Nchini China

Updated: 2024-09-15

Tarehe 15 Septemba, Chuo Kikuu cha BFSU kimeanzisha kozi ya Kitetum kwa mara ya kwanza nchini China. Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Zhao Gang, Mwambata wa Elimu wa Ubalozi wa Timor-Leste nchini China Bw. Rogério Paulo Chaves wamehudhuria ufunguzi wa darasa na kutoa hotuba kabla ya kipindi kuanza.