Aprili 18, Kituo cha Utafiti wa Bulgaria kimezinduliwa katika chuo chetu. Mkuu wa Chuo Prof. Peng Long na balozi wa Bulgaria nchini China Bw. Grigor Porozhanov wamehudhuria hafla ya uzinduzi huo na kusikiliza mihadhara ya wasomi.