Septemba 27 asubuhi, Mwana Mfalme wa Denmark Frederik amefanya ziara katika chuo chetu akishuhudia uzinduzi wa Kituo cha Utafiti wa Denmark cha BFSU.
Hii ni mara ya pili ya Frederik kuzuru chuo chetu. Mwaka jana, alihudhuria ufunguzi wa Kombe la “China na Ulaya ya Kaskazini” la Soka uliofanyika katika chuo chetu.