Tarehe 19 Oktoba, Balozi wa Belarusi nchini China Bw. Rudy Kiryl alikizuru chuo chetu na kukutana na Mkuu wa Chuo Prof. Peng Long. Baadaye balozi huyu alitoa hotuba.