HOME > Habari > Content

Naibu Mkuu wa SBU Atembelea BFSU

Updated: 2024-04-02

Tarehe 15 Machi, Naibu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Stony Brook(SBU) Bw. Carl W. Lejuez na msafara wake wametembelea Chuo Kikuu cha BFSU. Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Prof. Wang Dinghua, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Prof. Jia Wenjian wamekutana na wageni hawa.

Wamezungumzia kuimarisha ushirikiano kati ya pande mbili katika kuendeleza elimu ya ushirika, kuandalia wanafunzi kwa pamoja, kuimarisha mawasiliano ya walimu na wanafunzi na kufanya utafiti.