HOME > Habari > Content

Mkuu wa BSU Atembelea BFSU

Updated: 2024-04-02

Tarehe 21 Machi, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Belarusian State(BSU) Bw. Andrei Korol na msafara wake wametembelea Chuo Kikuu cha BFSU. Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Prof. Jia Wenjian amekutana na wageni hawa.

        Pande hizo mbili zimefanya mazungumzo juu ya kuimarisha ushirikiano wa utafiti, mafunzo ya walimu, elimu ya masafa marefu na pande nyingine. Prof. Jia Wenjian amemtunukia Bw. Korol cheti cha mhariri wa jarida la “Utafiti wa Masuala ya Slav wa China”.