CHUO KIKUU CHA LUGHA

ZA KIGENI, BEIJING

Prof. Dai Dongmei atunukiwa Tuzo ya Academic Palm Knight ya Ufaransa

发布时间:2023-04-07

Tarehe 20 Machi, maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Kifaransa yamefanyika kwenye Ubalozi wa Ufaransa nchini China. Wizara ya Elimu ya Ufaransa imemtunukia Mkuu wa Kitivo cha Kifaransa cha BFSU Prof. Dai Dongmei tuzo ya Academic Palm Knight kwa kuzingatia mchango wake katika kuendeleza elimu ya Kifaransa na kueneza utamaduni wa Kifaransa. Balozi mpya wa Ufaransa nchini China Bw. Bertrand Lortholary amemtunukia Prof. Dai Dongmei nishani hiyo.


No. 2 North Xisanhuan Road, Beijing, P.R.China. (100089)

OFFICE FOR INTERNATIONAL EXCHANGE AND COOPERATION

OFFICE OF CONFUCIUS INSTITUTES

OFFICE FOR OVERSEAS STUDENTS AFFAIRS

GENERAL ADMINISTRATION OFFICE

Copyright@BFSU.Support by ITC