CHUO KIKUU CHA LUGHA

ZA KIGENI, BEIJING

Kongamano la Ujenzi wa Rasilimali za Taarifa za Taaluma ya Nchi na Maeneo Lafanyika BFSU

发布时间:2023-03-26

Tarehe 18 Machi, Kongamano la Ujenzi wa Rasilimali za Taarifa za Taaluma ya Nchi na Maeneo lililoandaliwa na Jumuiya ya Utafiti wa Taaluma ya Nchi na Maeneo limefanyika katika Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing. Mkuu wa Chuo Kikuu cha BFSU Prof. Yang Dan amehudhuria kongamano hilo.

Wataalamu na wasomi 96 wanaoshughulikia Utafiti wa Taaluma ya Nchi na Maeneo kutoka vyuo vikuu 34 wameshiriki katika kongamano hilo. Wataalamu wamefanya majadiliano ya kina juu ya dhana, njia na mipango ya Ujenzi wa Rasilimali za Taarifa za Taaluma ya Nchi na Maeneo.


No. 2 North Xisanhuan Road, Beijing, P.R.China. (100089)

OFFICE FOR INTERNATIONAL EXCHANGE AND COOPERATION

OFFICE OF CONFUCIUS INSTITUTES

OFFICE FOR OVERSEAS STUDENTS AFFAIRS

GENERAL ADMINISTRATION OFFICE

Copyright@BFSU.Support by ITC