CHUO KIKUU CHA LUGHA

ZA KIGENI, BEIJING

Mkutano wa mwaka 2018 wa Taasisi za Confucius Wafanyika BFSU

Mkutano wa mwaka 2018 wa Taasisi za Confucius wenye kaulimbiu ya “Mfumo wa Uendeshaji wa Taasisi za Confucius na Ubora wa Ufundishaji” umefanyika katika chuo chetu tarehe 1, Desemba. Wajumbe 44 wa taasisi za Confucius za chuo chetu wamehudhuria mkutano huo.

No. 2 North Xisanhuan Road, Beijing, P.R.China. (100089)

OFFICE FOR INTERNATIONAL EXCHANGE AND COOPERATION

OFFICE OF CONFUCIUS INSTITUTES

OFFICE FOR OVERSEAS STUDENTS AFFAIRS

GENERAL ADMINISTRATION OFFICE

Copyright@BFSU.Support by ITC