CHUO KIKUU CHA LUGHA

ZA KIGENI, BEIJING

Prof. Wang Dinghua Azuru Urusi, Ufini na Uholanzi

Oktoba 10-18, Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Prof. Wang Dinghua alifanya ziara katika nchi za Urusi, Ufini na Uholanzi na kuvizuru Chuo Kikuu cha Lugha cha Moscow, Chuo Kikuu cha Herzen, Makavazi ya Mashariki ya St. Petersburg, Chuo Kikuu cha Tampere, Chuo Kikuu cha Lapland, Muungano wa Lugha wa Uholanzi na Chuo Kikuu cha Leiden. Prof. Wang alizungumza na wenyeji wake wa taasisi hizo na kutia saini makubaliano kadhaa ya ushirikiano. Prof. Wang pia alitembelea balozi za China katika nchi hizo tatu.

No. 2 North Xisanhuan Road, Beijing, P.R.China. (100089)

OFFICE FOR INTERNATIONAL EXCHANGE AND COOPERATION

OFFICE OF CONFUCIUS INSTITUTES

OFFICE FOR OVERSEAS STUDENTS AFFAIRS

GENERAL ADMINISTRATION OFFICE

Copyright@BFSU.Support by ITC