CHUO KIKUU CHA LUGHA

ZA KIGENI, BEIJING

Alumni

发布时间:2019-04-28

Katika miaka 70 na ushee iliyopita tokea iasisiwe, BFSU imeandaa zaidi ya wahitimu wapatao 100,000 wenye umahiri wa lugha ambao wametoa mchango mkubwa katika sekta ya diplomasia, majeshi, sheria, fedha, mashirika, vyombo vya habari, elimu na nyinginezo. Chama cha Wahitimu kilianzishwa kikilenga kuimarisha mawasiliano kati ya chuo na wahitimu na wahitimu kwa wahitimu ili kuwatolea huduma bora na kuieneza sifa ya chuo chetu duniani kote.

Aprili 2006

Chama Cha Wahitimu Wa BFSU Waliopo Xiamen Kilianzishwa.

Mei 2007

Chama Cha Wahitimu Wa BFSU Waliopo Shanghai Kilianzishwa.

Aprili 2007

Chama Cha Wahitimu Wa BFSU Waliopo Macao Kilianzishwa.

Juni 2008

Chama Cha Wahitimu Wa BFSU Waliopo Yunnan Kilianzishwa.

Desemba 2012

Chama Cha Wahitimu Wa BFSU Waliopo Beijing CBD Kilianzishwa.

Desemba 2013

Chama Cha Wahitimu Wa BFSU Kilianzishwa Rasmi.

Januari 2014

Chama Cha Wahitimu Wa BFSU Waliopo Ufaransa Kilianzishwa.

Desemba 2014

Chama Cha Wahitimu Wa BFSU Waliopo Guangdong Kilianzishwa.

Aprili 2015

Chama Cha Wahitimu Wa BFSU Waliopo Hongkong Kilianzishwa.

Mei 2015

Chama Cha Wahitimu Wa BFSU Waliopo Amerika Kaskazini Kilianzishwa.

Mapema Mwaka 2015

Vituo Vya Mawasiliano Ya Wahitimu Vimeanzishwa Katika Wizara Ya Mambo Ya Nje, Wizara Ya Biashara, Shirika La Habari La Xinhua, CCTV, Gazeti La China La Kila Siku, Redio China Kimataifa N.K. Chama Cha Wahitimu Wanaojiajiri Kimeanzishwa Pia.

“Wahitimu wa BFSU wanaonekana popote pale bendera ya taifa la China inapopepea.” Wahitimu wote wa chuo chetu mnakaribishwa kujiunga nasi. Ni matumaini yetu kuwa wahitimu wajikute uangalizi wetu kwa kupitia matawi yaliyo karibu! BFSU iko pamoja na wewe popote pale uendapo.

Ofisi ya Chama cha Wahitimu:http://xyh.bfsu.edu.cn/

No. 2 North Xisanhuan Road, Beijing, P.R.China. (100089)

OFFICE FOR INTERNATIONAL EXCHANGE AND COOPERATION

OFFICE OF CONFUCIUS INSTITUTES

OFFICE FOR OVERSEAS STUDENTS AFFAIRS

GENERAL ADMINISTRATION OFFICE

Copyright@BFSU.Support by ITC