CHUO KIKUU CHA LUGHA

ZA KIGENI, BEIJING

Ziara za Viongozi Mashuhuri wa Nchi za Nje


Rais wa Ureno Mhe. Cavaco Silva alifanya ziara katika chuo chetu.

Mei 2014

Waziri Mkuu wa Malaysia Mhe. Najib Razak alifanya ziara katika chuo chetu.

Mei 2014

Waziri Mkuu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn alifanya ziara katika chuo chetu.

Juni 2013

Rais wa Uruguay Mhe. José Mujica alifanya ziara katika chuo chetu.

Mei 2013

Waziri Mkuu wa Latvia Mhe. Valdis Dombrovskis alifanya ziara katika chuo chetu.

Septemba 2012

Mwana wa Mfalme wa Abu Dhabi Mhe. Mohammed bin Zayed Al Nahyan alifanya ziara katika chuo chetu.

Machi 2012

Rais wa Poland Mhe. Bronislaw Komorowski alifanya ziara katika chuo chetu.

Desemba 2011

Rais wa Sri Lanka Mhe. Mahinda Rajapakse alitunukiwa Shahada ya Uzamivu ya heshima.

Mwaka 2011

Rais wa Urusi Mhe. Dmitry Medvedev alizungumza na wanafunzi wa chuo chetu.

Mwaka 2010

Waziri Mkuu wa Hungary Mhe. Viktor Orbán alifanya ziara katika chuo chetu.No. 2 North Xisanhuan Road, Beijing, P.R.China. (100089)

OFFICE FOR INTERNATIONAL EXCHANGE AND COOPERATION

OFFICE OF CONFUCIUS INSTITUTES

OFFICE FOR OVERSEAS STUDENTS AFFAIRS

GENERAL ADMINISTRATION OFFICE

Copyright@BFSU.Support by ITC