top news

 • Naibu Waziri wa Elimu wa Syria Azuru BFSU

  Tarehe 25 Novemba, Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Prof. Wang Dinghua amekutana na Naibu Waziri wa elimu wa Syria Bw. Farah Sulaiman Al. Mutlak. Profesa Wang amewaelezea wageni historia ya chuo na maendeleo ya taaluma ya Kiarabu. Anatarajia chuo chetu na vyuo vikuu vya Syria vishirikiane zaidi katika ufundishaji na utafiti wa lugha ya Kiarabu. Bw....

 • Mkuu wa Chuo Kikuu cha Lugha cha Munich Azuru BFSU

  Novemba 16 asubuhi, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Lugha cha Munich (SDI) Bw. Felix Mayer amezuru chuo chetu na kutunukiwa cheti cha profesa mwalikwa. Mkuu wa Chuo Prof. Peng Long amekutana na mgeni huyu akisema ushirikiano baina ya vyuo viwili katika mradi wa wakalimani wa shahada ya uzamili umetupa moyo wa kuzidisha ushirikiano katika sayansi ya siasa...

 • Balozi wa Belarusi Bw. Rudy Kiryl Azuru BFSU

  Tarehe 19 Oktoba, Balozi wa Belarusi nchini China Bw. Rudy Kiryl alikizuru chuo chetu na kukutana na Mkuu wa Chuo Prof. Peng Long. Baadaye balozi huyu alitoa hotuba. ...

 • Prof. Wang Dinghua Azuru Urusi, Ufini na Uholanzi

  Oktoba 10-18, Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Prof. Wang Dinghua alifanya ziara katika nchi za Urusi, Ufini na Uholanzi na kuvizuru Chuo Kikuu cha Lugha cha Moscow, Chuo Kikuu cha Herzen, Makavazi ya Mashariki ya St. Petersburg, Chuo Kikuu cha Tampere, Chuo Kikuu cha Lapland, Muungano wa Lugha wa Uholanzi na Chuo Kikuu cha Leiden. Prof. Wang a...

 • Mwana Mfalme wa Denmark Azuru BFSU

  Septemba 27 asubuhi, Mwana Mfalme wa Denmark Frederik amefanya ziara katika chuo chetu akishuhudia uzinduzi wa Kituo cha Utafiti wa Denmark cha BFSU. Hii ni mara ya pili ya Frederik kuzuru chuo chetu. Mwaka jana, alihudhuria ufunguzi wa Kombe la “China na Ulaya ya Kaskazini” la Soka uliofanyika katika chuo chetu....

 • Prof. Peng Long Azuru Panama, Ecuador na Argentina

  Mkuu wa Chuo Kikuu Prof. Peng Long amefanya ziara nchini Panama, Ecuador na Argentina kuanzia tarehe 13 hadi 21 Septemba. Katika ziara yake, Prof. Peng amevizuru Chuo Kikuu cha Panama, Chuo Kikuu cha Cuenca na Chuo Kikuu cha Ecuador, Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Argentina, Chuo Kikuu cha Buenos Aires, Chuo Kikuu cha Córdoba na Chuo Kikuu cha UA...

 • Karibuni Wanafunzi Wapya wa 2018

  Sherehe ya kuwakaribisha wanafunzi wapya wa mwaka 2018 imefanyika Septemba 12, 2018. Mwaka huu wanafunzi 1,454 wa shahada ya kwanza, wanafunzi 1,071 wa shahada ya umahiri na shahada ya uzamivu, wanafunzi 20 wa maandalizi ya masomo ya chuo kikuu na wanafunzi wageni wamejiunga na Chuo Kikuu cha BFSU. ...

 • Kituo cha Utafiti wa Bulgaria Chazinduliwa

  Aprili 18, Kituo cha Utafiti wa Bulgaria kimezinduliwa katika chuo chetu. Mkuu wa Chuo Prof. Peng Long na balozi wa Bulgaria nchini China Bw. Grigor Porozhanov wamehudhuria hafla ya uzinduzi huo na kusikiliza mihadhara ya wasomi. ...

 • Waziri Mkuu wa Uholanzi Azuru BFSU

  April 12 mchana, Waziri Mkuu wa Uholanzi Mark Rutte amefanya ziara katika chuo chetu akiambatana na balozi wake nchini China, katibu mkuu wa Ofisi ya Waziri mkuu, mshauri wa sera ya mambo ya nje na ulinzi na mkurugenzi wa Idara ya Asia n.k. Mkuu wa Chuo Prof. Peng Long ameandaa sherehe ya kumkaribisha Bw. Rutte akimshukuru mgeni huyu kutenga mud...

 • Peng Long Ahudhuria Kikao cha Pili cha Jumuiya ya Vyuo Vikuu vya China na Japani

  Machi 23-25, waziri wa elimu Bw. Chen Baosheng amehudhuria kikao cha pili cha Jumuiya ya Vyuo Vikuu vya China na Japani akiambatana na mkuu wa chuo chetu Prof. Peng Long. Kwenye kikao hicho, waziri wa elimu Chen Baosheng ametoa hotuba na kushuhudia utiaji saini wa makubaliano ya ushirikiano kati ya BFSU na Chuo Kikuu cha Hiroshima ambacho ni mw...

No. 2 North Xisanhuan Road, Beijing, P.R.China. (100089)

Office for International Exchange and Cooperation

0086-10-88816715
[email protected] https://international.bfsu.edu.cn/en/
General Administration Office

0086-10-88816215
[email protected]