Maelezo ya Programu

Kitivo cha Lugha na Fasihi ya Kichina Kozi ya Kawaida Kichina cha ngazi ya Cheti
  Shahada ya Kwanza Programu: Kichina
  Shahada ya Uzamili Programu 1: Kichina kwa Wageni (Kitaaluma)

Programu 2: Fasihi Linganishi na Fasihi ya Dunia

Programu 3: Fasihi ya Kale ya China

Programu 4: Filolojia ya Kichina

Programu 5: Isimu na Isimu Matumizi

  Shahada ya Uzamivu Programu: Fasihi Linganishi na Mwingiliano wa Tamaduni
  Kozi ya Muda Kitengo cha Kozi ya Kichina kinachosimamia programu hii kinaweza kupanga madarasa, kuandaa mpango na ratiba ya masomo n.k. kulingana na mahitaji mahususi.
Kitivo cha Biashara ya Kimataifa Programu zinazosomeshwa kwa Kiingereza 1.Kozi ya Kawaida (Ngazi ya Cheti): Biashara ya China

2.Shahada ya Kwanza: Biashara ya Kimataifa, Masoko ya Kimataifa, Fedha ya Kimataifa, Biashara ya China

3.Shahada ya Uzamili: Biashara ya China na Uhusiano wa Kimataifa

Sheria — Biashara ya China na Uhusiano wa Kimataifa

Menejimenti — Biashara ya Kimataifa

  Programu zinazosomeshwa kwa Kichina
  1. Shahada ya Kwanza

       Uchumi: Uchumi na Biashara ya Kimataifa, Fedha

     Menejimenti: Uhasibu, Uongozi wa Biashara, Biashara ya Kimataifa, Biashara ya Mtandao, Menejimenti ya Mfumo wa Habari

  1. Shahada ya Uzamili: Uchumi na Uhusiano wa Kimataifa
Kitivo cha Kiingereza Shahada ya Kwanza Programu: Lugha na Fasihi ya Kiingereza, Tafsiri na Ukalimani
  Shahada ya Uzamili Programu: Lugha na Fasihi ya Kiingereza (Fasihi ya Uingereza na Marekani, Isimu na Isimu Matumizi, Utafiti wa Marekani, Utafiti wa Uingereza, Utafiti wa Australia, Utafiti wa Kanada, Utafiti wa Ireland), Mitalaa ya Tafsiri na Ukalimani, Tafsiri na Ukalimani (MTI)
  Shahada ya Uzamivu Programu: Lugha na Fasihi ya Kiingereza (Fasihi ya Uingereza na Marekani, Isimu na Isimu Matumizi, Utafiti wa Marekani, Utafiti wa Ulaya na EU, Elimu ya Lugha za Kigeni, Mwingiliano wa Tamaduni), Mitalaa ya Tafsiri na Ukalimani
  Utafiti wa China Kozi: Dini ya Kibudha na Utamaduni wa China, Utangulizi wa Vitabu vya Falsafa ya Kichina, Fasihi ya Kisasa ya China, China katika Filamu, Siasa na Uchumi wa China ya Leo, Utangulizi wa Siasa ya China ya Leo, Ulinganishi wa Utamaduni kati ya China na Magharibi
Kitivo cha Uhusiano wa Kimataifa .Shahada ya Kwanza: Diplomasia  
  Shahada ya Uzamili: China ya Leo na Mambo ya Nje  
Kitivo cha Kirusi Kozi ya Kawaida Programu: Kirusi, Tafsiri na Ukalimani
  Kozi ya Hali ya Juu Programu: “Tafsiri na Ukalimani: Nadharia na Vitendo” (Kichina-Kirusi)
  Shahada ya Kwanza Programu: Kirusi
  Shahada ya Uzamili Programu: Kirusi cha Kisasa, Fasihi ya Urusi, Utamaduni na Jamii ya Urusi, Tafsiri na Ukalimani (MTI)
  Shahada ya Uzamivu Programu: Kirusi cha Kisasa, Fasihi ya Urusi, Utamaduni na Jamii ya Urusi, Uhusiano wa Kimataifa
Kitivo cha Asia-Afrika Kozi ya Kawaida Programu: Kithai, Kimalay, Kikorea, Kilao, Kikambodia, Kivietnam, Kimyanmar, Kituruki, Kiswahili, Kiindonesia, Kisinhala, Kihausa, Kiebrania, Kiajemi, Kihindi, Kiurdu
  Kozi ya Hali ya Juu Programu: “Tafsiri na Ukalimani: Nadharia na Vitendo” (Kichina-Kikorea, Kichina-Kivietnam, Kichina-Kilao, Kichina-Kimyanmar, Kichina-Kithai, Kichina-Kimalay, Kichina-Kisinhala, Kichina-Kituruki, Kichina-Kiswahili)
  Shahada ya Kwanza Programu: Kithai, Kimalay, Kikorea, Kilao, Kikambodia, Kivietnam, Kimyanmar, Kituruki, Kiswahili, Kiindonesia, Kisinhala, Kihausa, Kiebrania, Kiajemi, Kihindi, Kiurdu
  Shahada ya Uzamili na Uzamivu Programu: Lugha na Fasihi ya Asia-Afrika (Kithai, Kimalay, Kilao, Kikorea)

Maeneo ya Utafiti: Isimu, Fasihi, Tafsiri na Ukalimani: Nadharia na Vitendo, Utamaduni

Idara ya Kijerumani Programu ya Shahada ya Uzamili ya “Utafiti wa Kijerumani” ikishirikiana na Chuo Kikuu cha Nanjing na Chuo Kikuu cha Göttingen inaandikisha wanafunzi 10 kwa kila nchi ambao watasoma Ujerumani mwaka wa kwanza na mwaka unaofuata watasoma Chuo Kikuu cha BFSU au Chuo Kikuu cha Nanjing. Wakishahitimu masomo watapewa shahada mbili za pande zote.  
Kitivo cha Sheria Shahada ya Uzamili: “Sheria ya Biashara ya China na Sheria ya Biashara ya Kimataifa”  
Kitivo cha Tafsiri na Ukalimani Shahada ya Uzamili: Tafsiri na Ukalimani: Nadharia na Vitendo — Ukalimani Mfululizo / Ukalimani Mfululizo wa Lugha zaidi ya Moja, Tafsiri na Ukalimani (MTI)  
Taasisi ya Sinolojia ya Kimataifa Shahada ya Uzamili ya “Sinolojia ya Kimataifa”  
Kitivo cha Elimu ya Mtandao na Elimu ya Watu Wazima Kozi Fupi ya Kichina  
Kituo cha Utafiti wa Elimu ya Lugha za Kigeni cha China Taasisi yetu imeingia mkataba wa ushirikiano na Kitivo cha Elimu cha Chuo Kikuu cha London, Chuo Kikuu cha Sheffield, Uingereza na Chuo Kikuu cha Auckland, New Zealand.

 

 
Programu za Sinolojia ya Confucius Shahada ya Uzamivu kwa ushirikiano wa China na Nje, Shahada ya Uzamivu ya China, Wasomi wa “Ifahamu China”, Vijana Mashuhuri, Udhamini wa Uchapishaji na Kongamano la Kimataifa  

No. 2 North Xisanhuan Road, Beijing, P.R.China. (100089)

Office for International Exchange and Cooperation

0086-10-88816715
[email protected] https://international.bfsu.edu.cn/en/
General Administration Office

0086-10-88816215
[email protected]