Giving to bfsu

Mfuko wa Elimu wa BFSU usio wa kiserikali ulizinduliwa Novemba 18, 2010. Mfuko wetu unakubali mchango kutoka asasi zisizo za kiserikali, mashirika na watu binafsi ambao utatumiwa kukuza elimu ya chuo chetu ikiwa ni pamoja na: kuboresha mazingira ya ufundishaji, kuwatuza walimu na wanafunzi bora; kudhamini kazi ya utafiti na uchapishaji; kuwadhamini walimu na wanafunzi washiriki katika shughuli za kimataifa. Udhamini maalum utatumiwa kulingana na matakwa ya mfadhili.

Mfuko wetu unategemea kuungwa mkono na kufadhiliwa na mashirika na wadau wote wa nchini na nje. Wote mnakaribishwa!

Wasiliana nasi:

Simu: 0086-10-88810271  0086-10-88817794

Faksi: 0086-10-88810192

Barua pepe:[email protected]

Tovuti::jjh.bfsu.edu.cn

Anuani: Room 501A/501B/501D, 5th Floor, Arabic Building, East Campus, Beijing Foreign Studies University, Beijing, P.R. China, 100089

Njia za Kudhamini

Akaunti ya Fedha: Bank of China

Jina la Akaunti

Benki ya Kufungulia Akaunti

Namba ya Akaunti: 320756782480

No. 2 North Xisanhuan Road, Beijing, P.R.China. (100089)

Office for International Exchange and Cooperation

0086-10-88816715
[email protected] https://international.bfsu.edu.cn/en/
General Administration Office

0086-10-88816215
[email protected]