Data

Kuhusu BFSU Kuanzishwa mwaka 1941
Wanafunzi 5088  Wanaosoma Shahada ya Kwanza

2119  Wanaosoma Shahada ya Uzamili

440  Wanaosoma Shahada ya Uzamivu

1326  Wanafunzi Wageni

51.4%  Wanafunzi wa lugha ndogo ndogo wanaoweza kusomea nchi za nje

Walimu 1255  Walimu na Wafanyakazi

668  Jumla ya Walimu

333  Wakiwemo Maprofesa 122 na Maprofesa Washiriki 229

172  Wataalamu kutoka nchi 44

Ufundishaji 23  Vitivo na Idara

97  Programu za Shahada ya Kwanza

10  Mitalaa muhimu ya Kitaifa

83  Programu za Lugha

25  Lugha zote rasmi za Umoja wa Ulaya

10  Lugha zote rasmi za Umoja wa Nchi za Asia ya Kusini-Mashariki

25  Lugha zinazofundishwa na BFSU pekee nchini China

1:11  Urari wa Walimu kwa Wanafunzi

63  Programu za Shahada ya Uzamili

18  Programu za Shahada ya Uzamivu

1  Kituo cha Utafiti baada ya Shahada ya Uzamivu

Utafiti 1  Kituo Muhimu cha Sanaa na Sayansi ya Jamii cha Wizara ya Elimu

41  Vituo vya Utafiti wa Kanda na Nchi vya Wizara ya Elimu

1  Kituo cha Utafiti cha Baraza la Lugha la Taifa

1  Kituo cha Utafiti wa Falsafa na Sayansi ya Jamii cha Beijing

4  Majarida ya Kitaaluma yamo Fahirisi ya Nukuu za Sayansi ya Jamii

Ushirikiano wa Kimataifa 22  Taasisi za Confucius duniani

441  Vyuo vikuu na taasisi zenye ushirikiano za nchi na sehemu 88 duniani

Kampasi 463  Eneo (mita za mraba)

1,369 elfu+    Vitabu vinavyohifadhiwa katika maktaba (Vitabu vya lugha za kigeni elfu 621)

No. 2 North Xisanhuan Road, Beijing, P.R.China. (100089)

Office for International Exchange and Cooperation

0086-10-88816715
[email protected] https://international.bfsu.edu.cn/en/
General Administration Office

0086-10-88816215
[email protected]