Programu Mpya 18 Zaidhinishwa

Hivi juzi, Wizara ya Elimu imeidhinisha programu mpya 18 ambazo zitaanzishwa rasmi katika chuo chetu. Programu hizo mpya ni pamoja na lugha 14 za Kidhivehi, Kitetun, Kidari, Kinyarwanda, Kisotho, Kirundi, Kinyanja, Kisango, Kifiji, Kitok-pisin, Kiniue, Kibislama, Kimaori (Visiwa vya Cook), Kiluxemburg na nyingine za historia ya dunia, usimamizi wa fedha, biashara ya kimataifa na elimu ya tamthiliya.

Hadi sasa, programu za shahada ya kwanza katika chuo chetu zimefikia 115 zikiwemo programu 97 za lugha za kigeni, tafsiri na ukalimani na programu 17 zisizo za lugha.

No. 2 North Xisanhuan Road, Beijing, P.R.China. (100089)

Office for International Exchange and Cooperation

0086-10-88816715
[email protected] https://international.bfsu.edu.cn/en/
General Administration Office

0086-10-88816215
[email protected]