Peng Long Ahudhuria Kikao cha Pili cha Jumuiya ya Vyuo Vikuu vya China na Japani

Machi 23-25, waziri wa elimu Bw. Chen Baosheng amehudhuria kikao cha pili cha Jumuiya ya Vyuo Vikuu vya China na Japani akiambatana na mkuu wa chuo chetu Prof. Peng Long. Kwenye kikao hicho, waziri wa elimu Chen Baosheng ametoa hotuba na kushuhudia utiaji saini wa makubaliano ya ushirikiano kati ya BFSU na Chuo Kikuu cha Hiroshima ambacho ni mwenyeji wa kikao hiki cha mwaka huu.

Jumuiya hiyo ilianzishwa na chuo chetu mwaka jana na kikao hicho cha pili kimehudhuriwa na wageni rasmi zaidi ya 80 kutoka vyuo vikuu 22 vya nchi hizo mbili.

No. 2 North Xisanhuan Road, Beijing, P.R.China. (100089)

Office for International Exchange and Cooperation

0086-10-88816715
[email protected] https://international.bfsu.edu.cn/en/
General Administration Office

0086-10-88816215
[email protected]