Mkutano wa mwaka 2017 wa Taasisi za Confucius Wafanyika BFSU

Mkutano wa mwaka 2017 wa Taasisi za Confucius wenye kaulimbiu ya “Ukanda mmoja Njia moja na maendeleo ya taasisi za Confucius: fursa mpya, changamoto mpya” umefanyika katika chuo chetu tarehe 9, Disemba.

Wajumbe wa taasisi 22 za Confucius za chuo chetu wamehudhuria mkutano huo.

No. 2 North Xisanhuan Road, Beijing, P.R.China. (100089)

Office for International Exchange and Cooperation

0086-10-88816715
[email protected] https://international.bfsu.edu.cn/en/
General Administration Office

0086-10-88816215
[email protected]