Wanafunzi 1,302 wa Shahada ya Kwanza Wahitimu

Mahafali ya mwaka wa 2017 ya wahitimu wa shahada ya kwanza yamefanyika tarehe 28 Juni katika chuo chetu. Katika mahafali hayo, jumla ya wanafunzi 1302 wametunukiwa vyeti wakiwemo wahitimu bora 95 wa Beijing na wahitimu bora 196 wa BFSU. Wahitimu 84 wamejiunga na Bodi ya Wahitimu ya BFSU.

必选1—本科生毕业典礼配图

No. 2 North Xisanhuan Road, Beijing, P.R.China. (100089)

Office for International Exchange and Cooperation

0086-10-88816715
[email protected] https://international.bfsu.edu.cn/en/
General Administration Office

0086-10-88816215
[email protected]