Kozi Mpya za Lugha 11 Zaidhinishwa

Hivi juzi, Wizara ya Elimu imeidhinisha kozi za lugha 11 ambazo zitaanzishwa rasmi katika chuo chetu. Lugha hizo ni pamoja na Kikurdi, Kikrioli, Kitigrinya, Kitswana, Kishona, Kindebele, Kikomori, Kibelarusi, Kimaori, Kitonga na Kisamoa.

Mpaka sasa, programu za shahada ya kwanza katika chuo chetu zimefikia 97 zikiwemo lugha 83 za kigeni.

IMG_0672a

No. 2 North Xisanhuan Road, Beijing, P.R.China. (100089)

Office for International Exchange and Cooperation

0086-10-88816715
[email protected] https://international.bfsu.edu.cn/en/
General Administration Office

0086-10-88816215
[email protected]