BFSU ndani ya 100 katika Masomo Bora Duniani

BFSU imeingia orodha ya masomo bora duniani iliyotolewa na QS (Quacquarelli Symonds) Machi 8, mwaka 2017. Isimu na Isimu ya Kisasa za chuo chetu zimeshika nafasi kati ya 51-100 na lugha na fasihi ya Kiingereza imeorodheshwa kati ya 201-250.

Shirika la QS lililopo London hufanya utafiti wa taaluma 46 kila mwaka na kuviorodhesha vyuo vikuu bora zaidi ulimwenguni likizingatia kiwango cha utafiti na ufundishaji, uwezo wa wanafunzi kupata ajira na sifa ya kimataifa. Orodha hiyo inatolewa kutokana na tathmini za wataalamu elfu 305, waajiri elfu 194 na uchambuzi wa nyaraka mil. 43 na data mil. 185 katika database ya Scopus.

新增语种新闻配图

No. 2 North Xisanhuan Road, Beijing, P.R.China. (100089)

Office for International Exchange and Cooperation

0086-10-88816715
[email protected] https://international.bfsu.edu.cn/en/
General Administration Office

0086-10-88816215
[email protected]