Kozi ya Kiazeri Yazinduliwa

Sherehe ya uzinduzi wa lugha ya Kiazeri imefanyika katika Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing Februari 28. Hii ni mara ya kwanza kwa lugha hiyo kufundishwa nchini China.

Kozi hiyo iliyoidhinishwa na Wizara ya Elimu mwaka 2015 inafundishwa na Dkt. Agshin Aliyev ambaye anachunguza isimu-matumizi na leksikografia zaidi na kuhitimu kutoka Chuo Kikuu cha Ualimu cha Mashariki ya China mwaka 2013 na kumaliza utafiti wa ziada katika Chuo Kikuu cha Ualimu cha Shanghai mwaka 2016.

新增语种新闻配图

No. 2 North Xisanhuan Road, Beijing, P.R.China. (100089)